Karibu kwenye kituo cha msaada

Ili kuboresha huduma zetu, tunatumia mfumo wa msaada kwa tiketi. Kila ombi litapatiwa namba maalum ambayo utatumia kufuatilia ombi lako. Kwa ajili ya kumbukumbu tunahifadhi historia ya maombi yote ya msaada. Unahitaji barua pepe ili kuwasilisha tiketi yako.